bou_ezr_text_reg/01/07.txt

1 line
264 B
Plaintext

\v 7 Mfaume Koreshi kauhusu vyekuwamo mwe nyumba ya Yahwe ambavyo Nebukadeza kavilavya kulawa Yerusalemu na kuviika kwe nyumba ya Miungu yakwe. \v 8 Koreshi akavikabizi mwe mikono Mithredath mtunza hea ambaye kavilavya na muvitaazia kwa sheshbaza kiongozi wa Yuda.