bou_ezr_text_reg/08/35.txt

1 line
397 B
Plaintext

\v 35 Na wada wekwezao kuawa utumwani. Wantu wa wekusamizwao, wakavya kafaa ya kuokwa kwa Muungu wa Islaeli, ng'oto tisini na ntanda tu, wana ng'oto sabini na mfungate na mbuzi wagosi kumi na waidi inga kafaa ya zambi. Zose ziwa kafaa ya kuokwa kwa ajii ya Yawe. \v 36 Naho wakwekingwa amli za mfaume kwa wakuu wa mfaume na wakuu wa mwemizi ng'ambo ya mto, waka wasaidia wantu na nyumba ya Muungu.