bou_ezr_text_reg/08/31.txt

1 line
260 B
Plaintext

\v 31 Tikawa kuita mto Ahava siku ya kumi na mbii mwe mwezi wa bosi kuita Yedusalem, mkono wa Muungu uwa hamwe nasisi katilinda na mkono wa mkondo wetu na wasa wekukundao kutiosoeya nkumbizi siyai. \v 32 Ivyo tengiya Yelusalem na kwekaa umo kwa siku mntandatu.