\v 55 Wana wa wandima wa Selemani: Wana wa Sotai, Soferehi, Peruda. \v 56 Yaala, Darkoni, Gideli. \v 57 Shefatai, Hatili, Pokereth-Sebaimu, Amoni. \v 58 Wawa jumla ya wandima mia ntatu tisini na mbii wekusagulwao kugosoa ndima mwe Hekalu hamwe na wana wandima wa Seemani.