bou_amo_text_reg/04/04.txt

1 line
309 B
Plaintext

\v 4 "Hitani Behteli na ubaya wenu, hadi Galgali mwendako muongeza dhambi, eteni sadaka zenu kiya keo, mafungu yenu kia baada ya siku ntatu. \v 5 Avyani sadaka za kushukuu, hamwe na mkate, tangazani sadaka za hiari, watangazieni mana inu nee iwaagizwavyo nywinywi wantu wa israel ivi nee aambavyo Zumbe Yahwe.