bou_amo_text_reg/07/10.txt

1 line
305 B
Plaintext

\v 10 Ne Amazia yuda kuhani wa Betheli akaagiia saamu kwa Yeroboamu mfaume wa Israeli. Amosi kagosoa njama zidi yako gatigati mwe nyumba ya Israel. Sii nkaidaha kwenda mbui zose izi. \v 11 Kwa kua ivi ne ambavyo Amosi, Yeroboamu endaafe kwa uhamba, kwa kwei Israeli yondaiite kwe utumwa kukawa sii yakwe."