\v 21 Nakimwa, nazidharau sikunkuu zenu, naichukia mikutano yenu yadini. \v 22 Hata kama mwaniavia sadaka ya kuteketeza na sadaka yaunga, nkinanizihokee, wala kuzitamani kwe sadaka za ushiika wa wanyama wekunonao.